USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Saturday, October 27, 2018

50 Cent anunua ticket 200 kwa lengo la kumkomoa Jarule

Rapper 50 Cent ameonekana kuendeleza bifu lililopo kati yake na Jarule ikiwa 50 Centamefanya jambo la kumkomoa Jarule kwa kununua tiketi 200 za siti za mbele kwaajili ya  show ya Jarule.
 Rapper 50 Cent amemwambia Jarule kuwa lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha kuwa anakosa watu wa kumshangilia kwa upande huo wa mbele kwenye show yake inayotarajiwa kufanyika November 9,2018.
Kiingilio cha show hiyo ya Jarule ni dolla 15 za Kimarekani ambazo ni shillingi takribani elfu 30 za Kitanzania na kuelezwa kuwa bifu hilo kati ya wawili hao lina miaka 20 mpaka sasa
Share:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Followers

Search This Blog

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL