Kwa mujibu wa mwanasheria wa Maradona amesema kuwa kutembea kwa kusuasua kwa lejendari huyo wa soka kunatokana na kuchomwa sindano ya kutibu maumivu ya magoti yanayoonekana kumsumbua kwa kipindi chote.
Maradona mwenye umri wa miaka 57, amekuwa akifahamika kusumbuliwa na matatizo ya goti tangu ilivyoripotiwa kwenye michuano ya kombe la dunia nchini Urusi.

Maradona kwa sasa ni meneja wa klabu ya Mexican inashiriki ligi daraja la pili, Dorados lakini kwa mujibu wa kipande hicho cha video kinamuonyesha akitembea kwa shida katika viunga vya timu hiyo huku akipatiwa msaada na kocha msaidizi, Luis Campos.
0 comments:
Post a Comment