USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Thursday, October 25, 2018

Awamu ya tano ya mazungumzo ya kutafuta amani nchini Burundi yanafanyika hii leo jijini Arusha, chini ya Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mzee Benjamini Mkapa.


Awamu  ya tano ya mazungumzo ya kutafuta amani nchini Burundi yanafanyika hii leo jijini Arusha, chini ya Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mzee Benjamini Mkapa.

Mazungumzo hayo yalikua yafanyike jana  Oktoba 24 lakini yaliahirishwa kwa kile kilichodaiwa na upande wa upinzani kuwa ni kuishinikiza serikali kutuma washiriki katika mazungumzo hayo
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL