Muimbaji huyo amemshukuru mpenzi wake kwa kumpatia zawadi hiyo ya mtoto kwani wasichana wengi wa sasa wa rika lake hawapo tayari kubeba jukumu la kuwa mama.
"Nimshukuru huyu mwanamke ambae alikubali kubeba ujauzito miezi yote 9 akiwa na mmewe ambae ni mimi tukiishi pamoja kwa raha na karaha hii kitu ni nadra sana kwa wasichana wa sasa ambao wamekamilika kila kitu kuanzia uzuri waliobarikiwa na Mungu," amesema Beka.
Utakumbuka kuwa mpenzi wa Beka Flavour ndiye ametoka kwenye video ya wimbo wa muinbaji huyo inayokwenda kwa jina la Kibenteni.







0 comments:
Post a Comment