“Mkataa kwao ni mtumwa” ni rapper Cardi B kwenye headlines ambaye amekataa kuwa mtumwa na hivyo kupakumbuka kwao Brooklyn na kuamua kuwasaidia watu wasiojiweza kwa kuwapatia majaketi na viatu.
Rapper Cardi B ni mzaliwa wa Brooklyn New York na amefanya tukio hilo siku yaAlhamisi October 18,2018 na kupata muitikio wa maelfu ya watu wanaoishi kwenye makazi ya umma ya Marlboro, Gravesend mjini Brooklyn .
“Lazima tuweke mifano kwa watoto muda mwingine watu wanafikiri kwamba tunafanya tu mambo yasiyofaa lakini una muda tunapaswa kuwajali watoto,jamii na kila kitu” >>>Cardi B

0 comments:
Post a Comment