Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameamua kuachia audio wa wimbo wake wa Pamela aliyomshirikisha Rapa Young Killer uliyopo kwenye albamu yake ya A Boy From Tandale.
Baadhi ya nyimbo nyingine alizoachia ni pamoja na Sijaona, Kosa Langu, Baikoko na wimbo wa tano ukienda kwa jina la Nikuone.
0 comments:
Post a Comment