Thursday, October 25, 2018
Home »
» Ethiopia yapata Rais wa kwanza mwanamke
Ethiopia yapata Rais wa kwanza mwanamke
Wabunge wa nchi hiyo wamemchagua Mwanadiplomasia mahiri Sahle-Work Zewde kuwa Rais, Anakuwa Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo katika Taifa la Ethiopia. Anachaguliwa ikiwa ni siku kadhaa tangu Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Abiy Ahmed ateuwe Baraza la Mawaziri lenye nusu ya Wanawake. Wakati akihutubia Sahle Work amesisitiza kutunza amani ya nchi hiyo.
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment