USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Monday, October 22, 2018

Hawa wa Diamond kufanyiwa upasuaji leo India, akutwa na ugonjwa mwingine sio Ini kama ilivyoelezwa Bongo

Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale ametoa taarifa kuwa msanii wa muziki nchini Hawa Said maarufu kama Hawa wa Diamond atafanyiwa upasuaji wa moyo jioni ya leo nchini India.
Babu Tale
Babu Tale ambaye aliondoka nchini na Hawa wiki iliyopita kwenda India kwa ajili ya matibabu, amesema kuwa Wataalamu wameangalia kila kitu na hawajaona tatizo kwenye Ini kama iliyokuwa inaripotiwa awali.
Asante Mungu tumefika salama India na tumefanya vipimo vyote upya salama na jibu lililotoka kwa wataalamu kwa asilimia 95% awajaona tatizo linalohusiana na ini kwa mgonjwa ila ni moyo ndio uliokua unapelekea mgonjwa kujaa maji mwilini ivyo basi kutaitajika kufanyika upasuaji mkubwa ambao utakua na uangalizi mkubwa wa wataamu then wametuakikishia baada ya hapo mgonjwa atapata nafuu na inawezekana izo 5% zilizobaki itakua poa na tatizo la ini alitokuwepo kikubwa tunaomba mtuombee dua na msiache kumuombea pia @diamondplatnumz apatenguvu ya kuendela kumsaidia kwa maana kutoa ni moyo. Kikubwa sana naomba tumuombee Hawa coz anaingia kwenye upasuaji mkubwa na hii ni atua ya yeye kua salama. Mungu tusimamie
Kwenye matibabu hayo nchini India, Diamond Platnumz amelipia gharama zote, ili kumsaidia msanii mwenzake ambaye miaka ya nyuma walishawahi kufanya naye kolabo ya wimbo wa Nitarejea.
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL