HEKIMA UMOJA NA AMANI
Ubeti wa Kwanza mstari wa pili hadi wa tatu wa wimbo wa Taifa wa Tanzania kuna maneno yanasema "Wabariki viongozi wake hekima umoja na amani"
TANZANIA imekuwa ni nchi ya mfano si tu barani Afrika bali ulimwenguni kote kwa viongozi wake kubarikiwa Hekima, na mshikamano,kulinganisha na mataifa mengine ambayo nyakati za kupokezana vijiti huwa ni chungu na huishia kuacha machozi,Jasho na Damu kwa wananchi wao.
Picha hii ni kielelezo tosha kinachobeba maana nzima ya ubeti huu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Wednesday, October 24, 2018
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment