USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Saturday, October 13, 2018

HII NI KWA WANAUME TU

WANAUME

Maelezo ya utangulizi kuhusu afya ya uzazi
Ni ukweli unaouma kwamba kati ya wanandoa saba basi mmoja wao hawezi kupata mtoto ama ana matatizo ya uzazi. Swali la kujiuliza ni kwa nini ongezeko ni kubwa kiasi hiki ukilinganisha na miaka ya 1970 kurudi nyuma?

Kila siku tunapata wagonjwa  Zaidi ya 20 wenye tatizo la kukosa uwezo wa kutungusha mimba kwa wanaume wakihitaji tiba ya nguvu za kiume  na matatizo ya kuvurugika kwa homoni kwa wanawake kunakopelekea wapoteze uwezo wa kushika mimba.   Kwa wanaume shida kubwa ziko mbili ikiwemo vijana wengi kujihusisha na upigaji punyeto kwa mda mrefu pasipo kutambua madhara yake, na kupungukiwa kwa kichocheo cha testosterone  na hivo kushindwa kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.

Nini hasa kinasababisha kupungua kwa kichocheo cha testosterone kwenye damu kwa mwanaume
Baada  ya kupata maelezo ya utangulizi hebu tujifunze kwa undani kuhusu homoni ama vichocheo vingine ambavyo vina mchango katika afya ya unyumba au tendo la ndoa.

Insulini: najua umeskia kuwa insulin inafanya kazi ya kurekebisha sukari yako kwenye mwili, ni kweli kabisa nakubaliana na hilo, lakini pengine hujawahi kupata dondoo ni kwa kiasi gani homoni hii ina mchango mkubwa kwenye swala la sex, hebu tutazame sasa ni kivipi ili upate mwanga:
pale sukari inapokuwa nyingi zaidi kwenye damu, kongosho humwaga insulin kwenye damu ili kurekebisha kiwango kile cha sukari, sukari nyingi hubadilishwa na kuhifadhiwa kama mafuta kwenye seli za kuhifadhi mafuta mwilini. Kadiri insulin inavomwagwa zaidi kwenye damu itafikia mahali mwili hausikii uwepo wa insulin kitaalamu tunaita Insulin resistence,  na ndipo mtu ananza kuugua kisukari, insluni inapokuwa nyingi kwenye damu basi utolewaji wa testosterone hushuka na ndio hupelekea mwanaume kushindwa kuhimili tendo la ndoa.

Leptin: kazi ya homoni hii ni kuzuia au kukata hamu ya kula pale mwili unapokuwa umeshiba kwa kuamrisha ubongo wako. Sasa pale unapokula wanga na sukari nyingi zaidi hupelekea leptin kushindwa kufanya kazi ipasavyo yaani mwili hausikii uwepo wa leptin kitaalamu tunaita Leptin resistence. Najua umekutana na mtu akikwambia anakula anashiba kasha baada ya muda mfupi anaanza kujiskia njaa tena, ukiona hivi ujue huyu mtu ni mlevi wa sukari ndio maan imepelekea kupunguza ufanisi wa leptin. Kama utazidi kujsikia njaa zaidi tafsiri yake utazidi kula zaidi sukari na wanga na ndivyo insulin itamwagwa zaidi kwenye damu kubadilisha sukari kuwa mafuta, mafuta haya yatazidi kuhifadhiwa na kukufanya uendee kuwa mnene na kitambi. Hivo homoni hizi huenda mkono kwa mkono.
Growth Hormone; homoni hii hutolewa na tezi ya pituitary mara nyingi  mtu akiwa amelala, kazi yake kubwa ikiwa ni  kuongeza ukuaji wa misuli, kusaidia mwili kuchoma mafuta, na pia kuongeza hamu ya tendo la ndoa, hivo kupungua kwa homoni hii hupelekea uzito kuendelea kuongezeka, kupungua kwa misuli ya mwili na pia kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa. Tafiti mbalimbali zimeonesha kuwepo kwa uhusiano kati ya kupungua kwa uzalishaji wa Kichocheo hiki cha ukuaji(Growth hormone) na kupungua kwa uzalishaji wa testosterone na hivo kupelekea kushuka kwa ufanisi kwenye tendo la ndoa.
Cortisol: pale unakuwa na msongo wa mawazo basi mwili kupitia tezi ya Adrenali hutoa homoni ya cortisol ili kupambana na hali hiyo, lakini tafiti zinasema kwamba kadiri mwili unavozalisha na kumwaga costisol nyingi zaidi basi inapelekea mwili kutohisi uwepo wa homoni ya leptin ambayo tumeona kuwa inakutaarifu kuwa umeshiba. Hebu unganisha haya mtukio, cortisol imeongezeka, mwili hauhisi leptin manake utazidi kuwa mlevi wa wanga na sukari, kisha insulin itamwagwa zaidi a zaidi ili ipunguze sukari iliyozid, utazidi kuwa mnene kutokana na sukari iliyozidi kwenye damu kubadlishwa kuwa mafuta, uzalishaji wa homoni ya testosterone utashuka na umwishowe ufanisi wa tendo la ndoa unashuka na unakuwa muhanga wa nguvu za kiume na kwa wanawake wanakuwa wahanga wa matatizo ya hedhi na uvimbe kwenye ovary.
Dalili zifuatazo zinaonesha kwamba una upungufu wa nguvu za kiume na unahitaji virutubisho.
Mwili kukosa nguvu mara kwa mara
Upungufu wa nguvu za kiume
Kupungua kwa hamasa ya tendo la ndoa
Kuongezeka uzito kupita kiasi
Shinikizo la damu kupanda
Kupungua kwa uwezo wa misuli kufanya kazi
Ushauri kwa wanaume wote wanaotaka kuimarisha uwezo wa kufanya tendo la ndoa na kuepuka aibu kwenye mahusiano
Tunaamini kwamba wanaume wote tunapaswa kufurahia tendo la ndoa pasipo kuumwa na kuteseka na magonjwa. Tumeumbiwa maisha yenye furaha na afya tele, swali ambalo kila mmoja wetu anapaswa kujiuliza je tumefikaje hapa tulipo mapaka sasa hatuna nguvu za kiume a ndoa zetu zinalegalega ? Majibu yanaweza kuwa mengi lakini sababu kubwa ni lishe. Ndio ni lishe, lishe mbovu na uharibifu wa mazingia mazuri yanayotuzunguka imetufanya tuugue kila siku na kukosa furaha, ukianzia kwenye kemikali za kuua wadudu kwenye mimea, vyakula vilivyosindikwa, uchafuzi wa hewa na maji kutoka kwenye viwanda na tabia zingine hatarishi kama kutofanya mazoezi ni muunganiko wa hatari zinazopelekea wanaume wengi kupungukiwa nguvu za kiume na kushindwa kuwaridhisha wenzi wao katika mahusino.

Sasa tujiulize tunaweza kuepuka moshi wa magari?, tunaweza kuepuka kula vyakula ambavyo vimelimwa bila kupigwa madawa?, tunaweza kuepuka kwa 100%, vyakula ambavyo havijapitia viwandani?, Jibu ni kwamba ni ngumu kuepuka kwa 100% hatari hizi zote maana ni sehemu ya maisha yetu kutokana na utandawazi na ugunduzi wa viwanda.

Tumaini letu lipo wapi?? Najua nawe pia unajiuliza tufanye nini sasa ili tuishi salama na turudishe uwezo wa nguvu nyingi za kiume kama walivokuwa nazo Babu zetu hapo zamani kama vihatarishi vyote hivi ni sehemu ya maisha yetu, tunafanya kazi viwandani, tunatumia maji yaliyotibiwa na kemikali, tunatumia vidonge, vipodozi na vyakula vyenye kemikali kwa wingi, muda mwingi tunautumia tukiwa tumekaa kwenye viti maofisini, hatuna muda wa kufanya mazoezi sasa kwa mitindo hii ya maisha tunaweza kuepuka magonjwa kama kisukari, pumu, saratani, presha, upungufu wa nguvu za kiume, ugumba, kuvurugika kwa hedhi, na mengine mengi?

Habari njema ni kwamba bado kuna tumaini, ambalo litarudisha furaha na uwezo wa kuishi muda mrefu bila kuugua magonjwa ya lishe, magonjwa haya huwa napenda kuyaita magonjwa ya kisasa kutokana na kwamba yameshamiri sana kipindi hiki cha karne ya 21 baada ya ugunduzi wa viwanda. Tumaini letu ni kurudi zamani, ni kweli tunatakiwa kurudi na kutazama wapi tumekosea, babu zetu walikula nini na sisi tunakula nini, babu zetu waliishi vipi, walitumie dawa gani walipoumwa.

Hii ndio sababu yetu kuanzisha website hii, KURUDISHA FURAHA ILIYOKWEPO MWANZO YA KUISHI PASIPO KUUMWA NA UKAWEZA KUFURAHIA NDOA YAKO., ambapo tunalenga katika kutatua changamoto za magonjwa sugu kwa kutoa ushauri na huduma ya dawa asili zisizo na kemikali hatari kwa mwili na virutubisho ambavyo vitajenga mwili na kukidhi mahitaji yako ya madini na vitamini muhimu, virutubisho kwa ajili ya kutoa sumu mwilini na kuzawazisha homoni zako. Hapa chini ni uchambuzi wa virutubisho kwa afya ya wanaume vinavyopatikana katika ofisi zetu.

ORODHA YA VIRUTUBISHO KWA AFYA YA MWANAUME

VIG POWER iliyotengenezwa kupitia mimea ya (Semen Cuscutae, Fructus Lycii, Rhizoma Dioscoreae, Radix Rehmanniae Preparata na  Cortex Moutan)


Kazi Na Faida Zake kwa mwili wa mwanaume.

kuzalisha nguvu inayotakiwa na kuongeza uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa kuboresha afya ya figo
kuongeza idadi ya mbegu (sperm count) na kuongeza uwezo wa mbegu kutembea (sperm motility)
Kumwongezea mwanaume hamu ya kufanya ngono , kuongeza uwingi wa oksijeni ndani ya damu itakayosaidia uume kusimama imara ili kumudu kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi bila kuchoka.
Inasaidia matatizo ya kufanya mapenzi kama kuwahi kufika kileleni, jogoo kushindwa kuwika na mbegu kutoka kila wakati bila ridhaa hasa kwa waliopiga punyeto kwa mda mrefu.
kirutubishi hiki kinawafaa zaidi Wanaume wanaotaka kuboresha uwezo wao wa tendo la ndoa
Wanaume wenye matatizo kwenye viungo vyao vya uzazi kama kuwahi kufika kielelni, jongoo kushindwa kupanda mtungi na shahawa kutoka zenyewe kila wakati
2. Prostacare capsules
 iliyotengenezwa kwa mimea na viungo cya Extractum of Radix Rehmanniae, Rhizoma Anemarrhenae, Cortex Phellodendri Chinsis, Herba Ecliptae, Fructus Ligustri Lucidi, Harba Plantaginis, na Radix Paeoniae Rubra.



Kazi Na Faida Zake

Kuboresha mzunguko wa damu ndani ya tezi dume
Kuzuia kuzaliana kwa wadudu wabaya ndani ya tezi dume
Kuondoa dalili za matatizo ya tezi dume
kuondoa seli za tezi dume zilizokufa na kutibu madhara yatokanayo na  kukua kwa tezi dume.                                                       kirutubisho hiki kinafaa kutmuka zaidia kwa
Mwanaume mwenye tatizo lolote la tezi dume
Wanaume wenye umri unaozidi miaka 40
kirutubisho hiki kinagarimu Tsh 88,200/=
3.  Natural Zinc capsules.



Sifa za faida za zinc capsules

husaudia katika Utengenezaji wa protini na utendaji kazi bora wa chembechembe nyekundu na nyeupe za damu
Inaimarisha  kinga za mwili na kuharakisha kupona kwa vidonda
Inasaidia mifumo ya uzazi ya wanawake na wanaume na kutibu tatizo la ugumba
inafaa zaidi kutumiwa na

wanaume wenye upungufu wa nguvu za kiume
wanaume wenye kiwango kidogo cha mbegu za kiume(sperms)
Watu wanaopata kiwango kidogo cha zinc kwenye milo yao.
Watu wenye matatizo ya mifumo ya mmeng’enyo ya chakula na vidonda vya tumbo
Watu wanaotumia dawa kwa mda mrefu
Watu wanaovuta sigara au kunywa pombe kwa wingi
Watu wasiokula nyama
Wanawake wanaotumia vidonge vya uzazi wa mpango au walio kwenye tiba za homoni
Wanariadha au watu wanaotumia sana nguvu za mwili
na watoto.
kirutubisho hiki kina vidonge 60 vyenye nguvu, streghth ya 500mg. gharama ni Tsh 60,000/=
Karibu tembelea ofisi zetu za Dar es salaam, Machinga Complex Karume  kwa ushauri wa kiiafya na huduma ya dawa na virutubisho asili ili kujenga afya yako na kuimarisha uwezo wa kufanya tendo la ndoa kikamilifu.

Share:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Followers

Search This Blog

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL