Rais wa klabu ya Real Madri, Florentino Perez huwenda akamtimua kazini meneja wa timu hiyo Julen Lopetegui siku ya Jumanne bila kujali matokeo yatakayopatikana kwenye mechi yao dhidi ya Viktoria Plzen hii ni kwa mujibu wa mtangazaji na mchambuzi wa habari za kiuchunguzi za michezo, Josep Pedrerol akiyasema hayo kupitia El Chiringuito
Monday, October 22, 2018
Home »
» Masikini kocha wa Real Madrid!, wiki hii haiishi bila kutimuliwa nafasi yake kuchukuliwa na Mourinho
Masikini kocha wa Real Madrid!, wiki hii haiishi bila kutimuliwa nafasi yake kuchukuliwa na Mourinho
Related Posts:
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment