Home »
» Pusha afanya yake nyumbani kwa Drake
sanii Pusha amefanikiwa kuuza tiketi zake zote kwa ajili ya show yake nchini Canada.Utakumbuka kuwa Pusha ana bifu na Drake ambaye anatokea Toronto Canada, hivyo bifu lao halijhadhiri chochote. Akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake 'The Daytona Tour Part 2'Pusha amefanikiwa kujaza show zake mbili za New York pamoja na ya Toronto November 20 mwaka huu.
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment