USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Friday, October 19, 2018

Rais Magufuli aipatia Taifa Stars tsh milioni 50 ili kuiangamiza Lesotho

Rais wa Tanzania Dkt John  Magufuli amekabidhi fedha tasilimu shilingi milioni 50 kama alivyoahidi kwaajili ya kusaidia maandalizi ya Taifa Stars kuelekea mchezo wake wa Kufuzu Afcon dhidi ya Lesotho utakaopigwa Novemba 18, 2018.




”Nawachangia milioni 50 ili iwasaidie katika maandalizi dhidi ya mechi yenu na Lesotho, muhakikishe zinatumika kwa watu wanaotakiwa kwenda”  Rais Magufuli.
Amesisitiza kuwa atafuatilia matumizi ya kile senti katika fedha hizo na watakaozitafuna watazitapika.
Aitaka Taifa Stars kuleta ushindi bila visingizio vyovyote akiwasihi wachezaji kuwa kitu kimoja, kuuchukulia mchezo huo kama vita na kupambana kwaajili ya taifa lao.
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL