USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Sunday, October 28, 2018

Siku zote watu wenye furaha huwa hawajali wala kutilia maanani kile ambacho wengine wanasema

diammondplatnumz 


Siku zote watu wenye furaha huwa hawajali wala kutilia maanani kile ambacho wengine wanasema au kufikiri juu yao. Ukiwa mwenye furaha na moyo uliochangamka si rahisi kupoteza mwelekeo kwa sababu ya maneno ya watu waliokuzunguka, kwani wakati wote furaha yako itakuwa dhahiri kwao na ndani yako.

Ili ufanikiwe katika ndoto yako hakikisha haupotezi furaha siku zote haijalishi umezungukwa na hali ya kukatishwa tamaa kiasi gani. Usikubali watu walio karibu yako kuwa sababu ya kuharibu furaha uliyonayo. Jifunze kulinda furaha yako kwenye kila aina ya mazingira haijalishi ni mazingiara chanya au hasi. Unahitaji furaha muda mwingi kuliko pesa na mali. Endelea kulinda furaha yako isipotee.
Share:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Followers

Search This Blog

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL