VIDEO
- Mungu natamani Ningekua tajiri nisingetaka kusikia hizi shida na mateso wanayopata ndugu zetu😢 ,huyu ni mwanamke mwezangu kama mnavyojua nadili na watoto, ila ila huyu mwanamke kama mimi nimeumia sana, siwezi kumuacha ndugu zangu watanzania tumsaidie na mimi naanza , nyumbani kwangu watakula dagaa na maharage ili tugawane umasikini na mwenzetu nijue anapataje matibabu nilionaga nikajua ameshapata msada .. Mungu utabaki kua Mungu.
.
. .
.
.
hivi wewe ninani unashindwa kumshukuru Mungu ata kwa dk 5 ukamwambia asante Mungu ,mana wanayopitia wenzetu ni makubwa na kutisha ..Acha niseme Asante Mungu. - KUTOKA KWENYE UKURASA WA MUNALOVE INTAGRAM
- MUNGU AKUTINGUVU DADA MUNA
0 comments:
Post a Comment