Wanaume watatu waliokunywa dawa za kuongeza nguvu za kiume huko nchini Zambia wamejikuta wakilazwa kimakosa katika hospitali ya wagonjwa wa kipindu pindu baada ya kuanza kutapika nakuharisha mfululizo.
Vyombo vya habari nchini Zambia vimeeleza kuwa wanaume hao walilazwa kwa makosa kwenye vituo vya zahanati za kuhudumia wagonjwa wa kipindu pindu wakidhaniwa kuwa wanaugua kipindu pindu hadi baadaye walipokuja kukiri kuwa walikunywa dawa za kuongeza nguvu za kiume na ndio zimepelekea waharishe...
Saturday, October 13, 2018
Home »
» Wakutwa na balaa baada ya kunywa dawa za kuongeza nguvu za kiume
Wakutwa na balaa baada ya kunywa dawa za kuongeza nguvu za kiume
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment