Wimbo wa kundi la Navy Kenzo, Katika umefanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwenye chati za BBC Radio 1Xtra.
Wimbo huo ambao wamemshirikisha Diamond Platnumz hapo Jumapili October 22 uliweza kufikisha views milioni 4 kwenye mtandao wa YouTube.
May mwaka huu msanii Harmonize alifanikiwa kuingiza ngoma yake ya Kwangwaru kwenye Top 5 za Afro Boss Airline DNA za kipindi cha Destination Africa kinachoendeshwa na DJ Edu kupitia BBC Radio One Xtra







0 comments:
Post a Comment