USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Wednesday, October 31, 2018

yota wa PSG anyakua tuzo kubwa mbele ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi

Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Uruguay, Edinson Cavani ameshinda tuzo ya Golden Foot Award kwa mwaka 2018 iliyofanyika jijini Monaco hapo jana siku ya Jumanne ya Oktoba 30.

Pasipo kutarajiwa na wengi Cavani ameweza kutwaa tuzo hiyo mbele ya wachezaji bora duniani, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.

Majina ya wachezaji waliyokuwemo kwenye 10 bora ya kuwania tuzo hiyo ukiachana na Cavani walikuwamo Manuel Neuer (Germany, Bayern Munich), Lionel Messi (Argentina, Barcelona), Cristiano Ronaldo (Portugal, Juventus), Luis Suarez (Uruguay, Barcelona), Gareth Bale (Wales, Real Madrid), Sergio Ramos (Spain, Real Madrid), Robert Lewandowski (Poland, Bayern Munich), Sergio Aguero (Argentina, Man City) na Thiago Silva (Brazil, PSG).

Tuzo ya Golden Foot award huwandaliwa na World Champions Club ambapo lengo kuu ni kutambua mafanikio ya wachezaji wa kulipwa ambao wamefanikiwa kucheza kuanzia mechi 28 na kuendelea kuhu mshindi wake hupatikana baada ya kupigiwa kura na umma,vyombo vya habari na watambuzi.

Share:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Followers

Search This Blog

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL