Friday, November 2, 2018
Home »
» Daines Rusthita - Ni Neema Tu (Official Video)
Daines Rusthita - Ni Neema Tu (Official Video)
Daines Rusthita ni dada mwenye mtazamo chanya katika kumtumikia Mungu,ameokoka na anamzigo mkubwa ambao Mungu kaweka ndani yake kwa ajili ya watoto yatima,amefanya album ya nyimbo za injili kwa ajiliya kuhakisha anawasaidia watoto yatima.Album hii itazinduliwa tar 30/12/2018 katika kanisa la AIC GEITA MJINI.KARIBU SANA SIKU HIYO ILI TUWEZE KUWASAIDIA WATOTO YATIMA.
Related Posts:
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment