USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Wednesday, November 14, 2018

Young Killer: Mi sidhani kama Irene Uwoya ni bibi


Msanii wa muziki wa hip hop, Young Killer amesema kuwa yeye hadhani kuwa kama msanii wa filamu, Irene Uwoya ni bibi kama alivyonukuliwa kwenye moja ya verse ya nyimbo yake aliyoimba kuwa " Sishangai hawa pimbi wakinitukana ni kawaida kama bibi na vijana"

Kufuatia verse hiyo watu walihisi dongo hilo amempiga msanii, Dongo janja jambo ambalo amekanusha kuwa si kweli ambapo amesema kuwa watu waliooa mabibi ni wengi hata kwenye mitandao wanaonekana.

"Sikumaanisha hivyo na sidhani kama Uwoya ni bibi kwa kweli, Mimi kwanza sidhani kama Irene Uwoya ni bibi kwakweli, sidhani na sitaki kuamini, wapo wengi waliooa watu ambao ni mabibi wapo wengi hata mitandao tunawaona, usimchukulie tu Dogo Janja au namna gani vipi embu mtoe Dogo Janja kuna watu wengine kibao kwa kuwa mmeelekea huko nyinyi ndio mmemaanisha lakini mimi sikumaanisha huko," amesema Killer.
Share:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Followers

Search This Blog

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL