Kwaya hii imekwisha kukamilisha kushuti nyimbo zao katika mfumo wa video na wanatarajia kufanya uzinduzi mwakani 2019.
Mwenyekiti wa kwaya ya Kayanga town choir alithibisha kuwa watazindua tar 27/1/ 2019 alipoongea na muandaaji wa kazi hiyo katika mfumo wa video Mr Sweya,kuwa ni kweli tar hiyo watazindua rasmi kwa mara ya kwanza album ya nyimbo 11.
Mwenyekiti wa kwaya ya Kayanga town choir BI; JOYCE KYAKATUKA,alisema jina la ALBUM HIYO NI UNISHIKE MKONO BWANA.
Katika uzinduzi huo tunatarajia kuwa na wageni mbalimbali toka nje ya mkoa wetu,alisema mwenyekiti wa kwaya.
Baadhi wa wanakwaya katika pozi la picha
0 comments:
Post a Comment