Kansela wa Ujerumani Angela Merkel atolea wito wa kuwekeza zaidi barani Afrika.
Katika mkutano uliofanyika mjini Berlin kuhusu uwekezaji katika sekta binafsi barani Afrika ”Compact with Africa”, kansela wa Ujerumani Angela Merkel ametoa wito wa kuwekeza barani Afrika.
Mkutano huo umefanyika Jumanne mjini Berlin.
Vyombo vya habari kutoka Ufaransa na Ubelgiji vimefahamisha kuwa Merkel ametoa wito wa kuwekeza barani Afrika kuliko kuwekeza zaidi Asia.
Wednesday, October 31, 2018
Home »
» Angela Merkel atolea wito wa kuwekeza zaidi barani Afrika
Angela Merkel atolea wito wa kuwekeza zaidi barani Afrika
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();







0 comments:
Post a Comment