USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Wednesday, October 31, 2018

Maisha ya Victoria Kimani baada ya kuondoka Chocolate City

sanii wa muziki kutokana nchini Kenya, Victoria Kimani amesema haoni tofauti ya kufanya ndani ya lebo na kufanya pekee yake.

Vitoria ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Highest Calibre amesema hayo akizungumza na XXL ya Clouds FM.

"Mimi ni mchapakazi hivyo sioni tofauti kati ya kuwa kwenye management au kufanya kazi bila management, sipo kwenye management ya Chocolate City, kwa takribani miaka miwili na nusu"  amesema Victoria Kimani

Victoria Kimani ameshafanya kazi na wasanii kadhaa wa Tanzania kama Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz na Stereo.
Share:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Followers

Search This Blog

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL