Thursday, October 25, 2018
Home »
MASTER WA BONGO
» Diva ampa pole Wema Sepetu,'Naamini utabadilika
Diva ampa pole Wema Sepetu,'Naamini utabadilika
Mtangazaji wa Clouds FM, Diva amempa pole Wema Sepetu pole kufuatia kuvuja kwa video yake ya faragha mtandaoni.
Diva ameeleza kuwa kitu hicho kinaweza kumtokea yeyote na kumtaka Wema kutulia kwa sasa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;
"Nakupongeza Wema kwa kitendo chako cha ujasiri cha kuomba msahama, najua sisi ni Binadamu na hakuna aliyekamilika. Mimi nina yangu na kila mtu ana yake,hakuna msafi kabisa dunia, tunajifunza kutokana na makosa," ameeleza.
"Mungu akupe kila hitaji la moyo wako na akuongoze na akuponye with whatever ur goin thru. Mimi ni mkweli na muwazi na naamini baada ya hili utabadilika na kuwa mtu ambaye Wema wanamtaka, hujachelewa babay you cna stil do it," ameeleza Diva.
Utakumbuka April Mwaka huu pia msanii Nandy na Bill Nass kulivuja video ya faragha mtandaoni kitu kilipelekea hadi suala hilo kuzungumziwa bungeni pamoja na kuchukulia hatua na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment