USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Saturday, October 13, 2018

Fahamu aina 18 za wanawake ambao huchukiwa zaidi na wanaume

Kwa kawaida, wanaume huwa wenye kuchagua sana ifikapo kwa wanawake wa kuishi nao, tofauti na wale wa kuzururazurura nao mitaani. Wengi walifichua kuwa hawawezi ishi na wanawake wa kutumia nyakati zao nyingi kwenye vilabu na maeneo ya burudani
Wanaume wengi walisema kuwa hupenda kutembeatembea na wanawake wa klabu, na wale hupenda kujianikaanika lakini ifikapo kwa kumchagua wa ndoa, wengi hupenda mwanamke mpenda dini.

Hizi hapa baadhi ya tabia za wanawake ambazo huwafanya wanaume kuwatema ifikapo katika suala la kumtafuta wa ndoa.
1. Mwanamke mwenye michoro mwilini kote, yaani tatoo
2. Mwanamke wa kujichubua ngozi yake ili awe kama mzungu

3. Mwanamke wa maringo na kiburi

4. Mwanamke anayependa kuzungumza kujihusu kila mara.

5. Mwanamke anayeongozwa na tamaa ya pesa.

6. Mwanamke ambaye amelala na basi nzima la wanaume.

7. Mwanamke asiyeamini au kushiriki dini yoyote.

8. Mwanamke aliyejitoboa kila pahali mwilini.

9. Mwanamke wa kuvalia nguo za aibu.
10. Mwanamke mlevi kupindukia.

11. Mwanamke mkorofi na aliyeombewa roho wa kiburi.

12. Mvuta sigara.

14. Mwanamke wa kujipodoa hadi inakuwa vigumu kumtambua.

15. Mwanamke anayejifanya kutopendeka, bahili wa mapenzi.

16. Mwanamke mwenye mwili ulioundika vibaya.
17.Mwanamke muongeaji sana
18.Mwanamke asie tii
Share:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Followers

Search This Blog

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL