USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Saturday, October 13, 2018

MBUNGE WA JIMBO LA GEITA MJINI CONSTATINE KANYASU-ASEMA HAYA KATIKA KUMBUKUMBU YA MIAK 19 TOKA BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE AFARIKI

   MBUNGE WA JIMBO LA GEITA MJINI CONSTATINE KANYASU,ameungana na wananchi wake wa jimbo la Geita Mjini kwa kufanya mazoezi ya mwili,uchangiaji wa damu na kisha tamasha ambalo limeshirikisha wananchi wa jimbo la Geita,katika tamasha hilo,wananchi wameweza kujifunza historia kwa ufupi kuhusu Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere,Mwl Julius alizaliwa tar 13.4.1922 Butihama na alifariki tar 14.10. 1999 huko london akiwa kwenye matibabu.
Share:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Followers

Search This Blog

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL