USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Tuesday, October 23, 2018

Gari lingine la lateketea kwa moto, watatu wafariki, shuhuda asimulia

eo October 23, 2018 Watu watatu wanasadikika kupoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa kufuatia ajali ambapo magari yamegongana na moto kuzuka ambao uliteketeza gari la TANROAD Kagera.
Shuhuda wa tukio hilo mwalimu Eradius Barongo wa Shule ya Mshasha iliyopo Kajunguti wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera ambapo ndo eneo ajali ilipotokea ameeleza chanzo cha ajali hiyo na watu aliowashuhudia wakipoteza maisha.
Share:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Followers

Search This Blog

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL