USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Tuesday, October 23, 2018

Kutana na Witness…Dereva Mwanamke wa basi la DAR-ARUSHA

Kutana na Witness Verael mwenyeji wa mkoa wa Arusha, Dereva mwenye uzoefu wa miaka wa 12, alianza udereva mwaka 2006 alianza kwa kuiba gari ya baba yake akiwa ameipaki nyumbani, baada ya kujua kuendesha alianza kuendesha daladala katika jiji la Mwanza na baadae kuhamia coaster Moshi Arusha mpaka sasa anaendesha mabasi makubwa ya abiria yaendayo mikoani na nje ya Nchi,
Kwasasa Witness anafanya kazi katika mabasi ya Dar Lux akifanya safari za Dar Arusha 
Share:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Followers

Search This Blog

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL