USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Monday, October 29, 2018

Inasikitisha!! Bilionea wa Leicester City afariki katika ajali ya helikopta

Bilionea mmiliki wa Klabu ya Soka ya Leicester City, Vichai Srivaddhanaprabha (61), raia wa Thailand amethibitishwa kuwa miongoni mwa watu waliofariki katika ajali ya helikopta karibu na Uwanja wa Klabu hiyo King Power juzi Jumamosi baada ya mechi ya timu yake na West Ham.

Leicester City imethibitisha kuwa, wafanyakazi wake wawili, rubani na abiria mmoja walifariki baada ya ndege hiyo kuanguka na kuteketea kwa moto majira ya saa 2:30 usiku huku mashuhuda wa tukio hilo wakisema ndege hiyo ilikuwa inamaliza kuondoka uwanjani hapo, ilianza kuyumba na kuanguka na kuwaka moto


Share:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Followers

Search This Blog

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL