sanii wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Jay Z na mkewe, Beyonce wameingiza US Dollar 253.5 kwenye tour yao, On the Run II.
Kwa muijibu wa Billboard kiasi hicho cha fedha kimepatikana kutokana na mauzo ya tiketi 2,177,000 (zaidi ya milioni mbili).
Jay Z na Beyonce wamefanya show 18 Ulaya na 30 Marekani, tour ya kwanza ya On the Run kwa mwaka 2014 iliingiza US Dollar 109.6 ambapo waliuza tiket 980,000.
Thursday, October 25, 2018
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment