Watu 11 wamepoteza maisha kutokana na mvua kubwa nchini Venezuela.
Maporomoko na mafuriko vimeendelea kusababisha vifo hasa katika maeneo ya Colombia,Venezuela,Panama.
Utabiri wa hali ya hewa umeonyesha kuwa kuna dalili ya mvua kuendelea kunyesha mpaka katikakatika ya mwezi wa Desemba.
Watu wengine watatu hawajulikani walipo.
Mvua zimekuwa zikinyesha katika maeneo ya Merida, Lara, Delta, Sucre na Miranda.
Thursday, October 25, 2018
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment