Msaka mafanikio unahitaji kujiuliza maswali haya ya msingi na kuyapatia majibu ili uweze kufanikiwa.
1. Fikiri juu ya muda ulionao, je ni masaa mangapi yana faida kwako na ni masaa managapi hayana faida?
2. Fikiri kuhusu mazingira uliyopo. Je kuna fursa ngapi zinapatikana hapo na unachukua hatua gani?
3. Fikiri kwa umakini kuhusu wewe. Je unataka kuwa nani kwa hapo baadae na sehemu gani?
4. Fikiri juu ya matatizo. Je ni unahisi una majibu ya chongomoto zinazokuzunguka au wewe ni chanzo cha matatizo hayo?
5. Fikiri juu ya mawazo chanya. Je unawaza nini kila siku na unachukua hautua kwa kiasi gani? Je mawazo yako ni chanya au hasi?
Ukitafakari juu ya hayo utakupa mwangaza kwamba inataka kuelekea wapi juu ya Maisha yako na taifa kwa ujumla. Maisha ya kufikiri mawazo chanya ndiyo yakupayo furaha ya moyo na Mafanikio ya kweli. Kwani kwa kila jambo ambalo unalifanya linahitaji ubunifu ili kuwa kitofauti.
Saturday, October 27, 2018
Home »
» Jiulize maswali haya kama kweli unataka mafanikio
Jiulize maswali haya kama kweli unataka mafanikio
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment