aada ya kiu cha miaka mitano, Kanye West ana mpango wa kuzitawala tuzo za Grammy mwaka 2019.
Kwa mujibu wa TMZ, Def Jam wameripotiwa kuwasilisha ngoma za Kanye kwenye vipengele vya: Best Rock Song na Best Rock Performance kwa ngoma yake, Freeee (Ghost Town, Pt. 2) akiwa na Kid Cudi.
Tuzo za 61 za Grammy zitafanyika February 19 mjini Los Angeles.
Mbali na hizo, Jina la Kanye pia limewasilishwa kwenye mchujo huo kwa ajili ya kipengele cha mtayarishaji bora wa mwaka, kama utakumbuka, mwaka huu ametayarisha album tano.
Wednesday, October 24, 2018
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment