Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Sirro amesema kuwa jeshi hilo litaanzisha operesheni ya kuwasaka watu wote wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu wa kutumia silaha za moto na kusababisha mauaji kwa watu wasiokuwa na hatia pamoja na kuwajengea hofu wananchi.
IGP Sirro ametoa kauli hiyo katika tarafa ya Nguruka wilayani Uvinza mkoani Kigoma kufuatia tukio la kushambuliwa na kuuawa kwa askari wawili na mwingine mmoja kujeruhiwa wakiwa katika operesheni ya kuwaondoa watu waliovamia eneo linalomilikiwa na Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) na kuendesha shughuli za kilimo kinyume cha sheria.
Thursday, October 25, 2018
Home »
» Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Sirro amesema kuwa jeshi hilo litaanzisha operesheni ya kuwasaka watu wote wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu wa kutumia silaha za moto
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Sirro amesema kuwa jeshi hilo litaanzisha operesheni ya kuwasaka watu wote wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu wa kutumia silaha za moto
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment