USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Wednesday, October 24, 2018

Mo Dewji awahakikishia kukamilika kwa uwanja mashabiki wa Simba

Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Mo Dewji amewahakikishia mashabiki wa klabu ya Simba kuwa Uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo utakamilika kama alivyopanga ili kutimiza ahadi yake.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Mo Dewji amesema anafanya hivyo kumalizia ujenzi wa uwanja huo ili utumike hata kama yeye asipokuwepo duniani.

“Tumefika hatua nzuri ya maendeleo ya uwanja wetu wa mazoezi wa #SIMBA. Nafurahi kuona maono yangu yanakamilika ili hata siku nisipokuwepo duniani, uwanja uendelee kutumika kwa mazoezi Insha’Allah.” ameandika MO




Share:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Followers

Search This Blog

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL