Ndege ndogo aina ya AT-6 imeanguka Los Angeles nchini Marekani.
Kwa mujibu wa habari,rubani amenusurika licha ya kuwa ndege hiyo iliwaka moto baada ya kuanguka.
Ajali hiyo iliyotokea kilomita 50 kutoka katika mji huo wa Los Angeles imesababisha mkusanyiko mkubwa wa magari katika barabara kuu.
Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana mpaka hivi sasa.
Wednesday, October 24, 2018
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment