USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Wednesday, October 24, 2018

Wasanii wa Tanzania hawapendani, ni wanafiki - Mrisho Mpoto

Msanii Mrembo Mpoto amesema kwa asilimia kubwa wasanii wa Tanzania hawapendani.

Mrisho Mpoto amesema hayo baada ya kumalizika kwa kikao kati ya wasanii na CCM alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.

"Wasanii wa Tanzania kusema kweli hawapendani, yaani ni wanafiki  kweli kweli, hapa anakuchekea lakini ndani moyoni mwake anasema hamna kitu lakini taratibu kwa sababu industry ndio inakuwa yatabadilika," amesema Mrisho Mpoto.

Kwa sasa Mrisho Mpoto anafanya vizuri na wimbo wake wa mwisho kutoa, Nimwage Radhi ambao amemshirikisha Harmonize.

Share:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Followers

Search This Blog

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL