USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Wednesday, October 24, 2018

Yanga kuja na mbinu mpya dhidi ya KMC

Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa KMC ni timu makini hivyo amewataka wachezaji kucheza kwa tahadhari kesho katika Uwanja wa Taifa.

Yanga itavaana na KMC kesho ikiwa ni mchezo wake wa nane wa Ligi Kuu Bara, imefanikiwa kushinda mechi sita na kupata sare mchezo mmoja na kufikisha jumla ya pointi 19.

“Mechi yetu na KMC itakuwa ngumu kutokana na jinsi vijana wa timu hii wanavyojitolea uwanjani, ni wachezaji wazuri nimewasoma na kujua jinsi wanavyocheza.

“Nawatambua vizuri wapinzani, tumefanikiwa kuboresha kikosi tofauti na tulivyocheza na Alliance kwani tulicheza vibaya, hivyo nimetumia nafasi hiyo kuboresha makosa yaliyojitokeza tusiyarudie,"alisema.
Share:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Followers

Search This Blog

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL