Malkia wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu amekanusha vikali tetezi ambazo ziliibuliwa na mwanadada wa mitandaoni Mange Kimambi kwamba kuna siku alichepuka na Dogo Janja ambaye ni mume wa ndoa wa Irene Uwoya.
Mange ambaye amekuwa akilumbana kwenye mitandao ya kijamii na Wema Sepetu, siku ya jana alipost chart mtandaoni akionyesha kuzungumza na Dogo Janja kuhusiana na tetesi hizo.
Hata hivyo aliufuta ujumbe huo muda mchache huku watu wengi mtandaoni wakidai kwamba taarifa hizo hazikuwa na ukweli wowote.
0 comments:
Post a Comment