USIKATE TAMAA WEWE NI MSHINDI

Recent News

Tuesday, October 23, 2018

“Wote mjisalimishe, mmemwaga ugali mimi namwaga mboga” -Waziri Mwijage

Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage amewata wafanyabiashara na wenyeviwanda nchini ambao wamehusika na kuingiza bidhaa za magendo ikiwemo sukari na kufungasha katika vifungashio vya ndani kujisalimisha katika Wizara yake na tume ya ushindani kwa ajili ya hatua zaidi la sivyo vitafungiwa.
Watu wote mlioingia katika mtego huo mjisalimishe haraka, kinyume cha hapo mimi nitachukua leseni na tumefikia hatua hiyo kwasababu mmeanza nyie kwahiyo kama mmemwaga ugali mimi namwaga mboga” –Waziri Mwijage
Share:

0 comments:

Post a Comment

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Author Details

Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

Followers

Search This Blog

Support

SUBSCRIBE OUR CHANEL