Thursday, November 1, 2018
Home »
» Jeshi limekamilika
Jeshi limekamilika
Jeshi limekamilika, tunachokisubiri sisi mashabiki ni kushuhudia mtanange wa kukata na shoka hapo kesho uwanja wa shule ya sekondari Nyankumbu girls kuangalia @geitagold wakitafuta pointi tatu muhimu kutafuta nafasi moja ya kupanda daraja kwenda ligi kuu Tanzania bara msimu ujao dhidi ya @green_warriors_fc
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment