Leo tar 1/11/2018 ulikuwa nimchuano mkali kati ya Kasamwa Fc na Mgusu Fc
Kipindi cha kwanza timu zilianza kwa kilatimu kusakama lango la mwenzake ili kupata ushindi wa haraka,ila mpaka timu zinakwenda mapumziko hakuna timu iliyokuwa imefunga.
Kipindi cha pili Mgusu fc ili bahati kuliona lango la kasamwa fc kwa penati na dakika za mwisho mwisho,kasamwa fc ili rudisha goli na hivyo mkapa kipenga cha mwisho goli ni moja kwa moja.
Pia kila kocha wa timu,wamempongeza Mh; Kanyasu kwa kuanzisha ligi hii na kuwaomba wadau wengine wamuunge mkono mbunge kwa jitihada zake ili kukuza vipaji vya vijana kwani mpira ni ajira.
0 comments:
Post a Comment