Wanawake wanadhaniwa kuwa kama maua ambayo yanastahili kubembelezwa mara kwa mara ili yaendelee kunawiri. Waume wengi wamefichua kuwa wao huwazingua wapenzi wao kwa kuwaletea zawadi ndogo ndogo na kuandaa ziara za kimapenzi kwa nia ya kusitiri mwanga wa penzi lao.
SOMA MAMBO 17
1. Mlete zawadi mara kwa mara. 2. Mpigie simu angalau mara moja au mbili kwa siku. 3. Muombee. 4. Leta mchezo unaoupenda kwenye gunia 5. Msifu mara kwa mara. 6. Msikilize kwa makini anapozungumza nawe. 7. Usizungumze kwa sauti ya juu anapozungumza nawe. 8. Usigawe penzi lake na mwanamke mwingine. 9. Usitoe maoni mabaya kuhusu mwili wake. 10. Usimfiche lolote. 11. Umsitiri na kuwa mpole kwake. 12. Usimkubalie kukujali tu kwa ngono. 13. Usimgombeze kwa umma. 14. Mshukuru kwa kukushughulikia ipasavyo. 15. Kubali kuwa sio wanawake wote wanaojua kupika. Furahia na ushukuru kwa chakula chake. 16. Usiipe familia yako umuhimu zaidi yake. 17. Mkumbushe mara kwa mara jinsi unavyompenda.
Thursday, November 15, 2018
Home »
» Mbinu 17 ambazo wanaume hutumia kuwazuia wapenzi wao kuvizia ‘vitumbua vya pembeni’ Read more: https://kiswahili.tuko.co.ke/269010-mbinu-17-ambazo-wanaume-hutumia-kuwazuia-wapenzi-wao-kuvizia-vitumbua-vya-pembeni.html#269010
Mbinu 17 ambazo wanaume hutumia kuwazuia wapenzi wao kuvizia ‘vitumbua vya pembeni’ Read more: https://kiswahili.tuko.co.ke/269010-mbinu-17-ambazo-wanaume-hutumia-kuwazuia-wapenzi-wao-kuvizia-vitumbua-vya-pembeni.html#269010
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment