Thursday, November 15, 2018
Home »
» Sababu za watu kuamua kuwaacha wapenzi wao baada ya kuwafumania
Sababu za watu kuamua kuwaacha wapenzi wao baada ya kuwafumania
Katika maisha ya kimapenzi yapo mengi ya kuvumilia ili kuweza kudumu na huyo uliyetokea kumpenda. Hata hivyo kuna ambayo kuyavumilia inahitaji ujasiri wa hali ya juu. Hebu vuta picha, unaingia kwenye uhusiano na mtu ambaye moyo wako unaamini ni mpenzi sahihi, unampenda, unamheshimu na kumjali lakini siku moja unamfumania na mtu mwingine. Hivi kama ni wewe utaumia kwa kiwango gani? Ninavyojua…
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment