Naibu Waziri Afya maendeleo ya jamii jinsia,wazee na watoto Dkt. Faustine Ndugulile amelitaka Jeshi la polisi, Mahakama na madaktari kote nchini kuacha kuwa chanzo cha kuharibu ushahidi wa kesi zinazohusiana na ukatili wa kijinsia badala yake amewataka kushirikiana kwa pamoja kwa kukomesha vitendo hivyo ambavyo vimekuwa vikiwaathiri wahanga wa matukio hayo kisaikolojia .
Dkt Ndugulile anatoa agizo hilo mjini Babati kabla ya kuzindua kamati ya mkoa ya kudhibiti ukatili dhidi ya wanawake na watoto mkoani Manyara inayolenga kupunguza vitendo hivyo
Saturday, November 3, 2018
Home »
» Ndugulile atoa agizo hili kwa Polisi, Mahakama na Madaktari
Ndugulile atoa agizo hili kwa Polisi, Mahakama na Madaktari
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment