Saturday, November 3, 2018
Home »
» Uturuki yatoa onyo kwa Ugiriki
Uturuki yatoa onyo kwa Ugiriki
Uturuki kuanza uchimbaji mafuta mbali na pwani ya bahari ya Mediterenean, yaionya Ugiriki kukaa mbali na meli ya Uturuki ya uchimbaji wa mafuta, Fatih
Msemaji wa chama tawala nchini Uturuki Ömer Çelik amesema hatua yeyote watayochukua Ugiriki kuisogelea meli ya Uturuki iliyoanza uchimbaji wa mafuta kwenye bahari ya Mediterenean ni hatua ya hatari.
Ömer Çelik, aliyasema hayo baada ya mkutano mkuu wa chama chake kumalizika.
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment