Monday, December 3, 2018
Home »
» WCB kumsaini msanii mwingine mwakani? Jibu hili hapa
WCB kumsaini msanii mwingine mwakani? Jibu hili hapa
Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam Sk amefunguka kuhusu kumsaini msanii mwingine WCB.
Sallam amesema kuwa wanampango ifikapo mwezi wa kwanza mwakani kumsaini msanii mwingine wa kike katika lebo hiyo "Tunategemea kumsaini msanii wa kike mwakani."
Msanii huyo atakayesainiwa na lebo hiyo atakuwa wa pili kwa wasanii wa kike kusainiwa huku wa kwanza akiwa Queen Darlin.
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment