Thursday, October 25, 2018
Makonda "amtumbua" Mkuu wa kituo, atoa agizo kwa Mambosasa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda "amemtumbua" Mkuu wa kituo cha Polisi Buguruni na kutaka aondolewe baada ya mkazi wa eneo hilo kulalamikia kukamatwa kwa mwanae kuhusiana na sakata la dawa za kulevya.
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment