Msanii wa muziki hip hop nchini Marekani, Nicki Minaj amefikishwa mahakamani na mkongwe Tracy Chapman.
Hii ni baada ya Nicki Minaj kutuhumiwa kutumia mistari na melody za wimbo, Baby Can I Hold You ktoka kwa Tracy Chapman na kuiweka kwenye wimbo wake uitwao Sorry.
Mkongwe huyo anasema Nicki Minaj aliwahi kutuma maombi ya kupata kibali cha kuutumia wimbo huo aliomshirikisha Nas hata hivyo alikataa.
Taarifa zinaeleza kuwa Minaj aliuweka wimbo huo kwenye albamu yake mpya unayokwenda kwa jina la Queen, hata hivyo alikuja kuuondoa ingawa tayari lishaaanza kusikika kwenye baadhi ya vyombo vya habari na mitandao.
Wednesday, October 24, 2018
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment