Friday, October 26, 2018
Home »
» Sijawahi kutumia Condom - Lava Lava
Sijawahi kutumia Condom - Lava Lava
Muimbaji Lava Lava amesema yeye huwa hatumii condom.
Muimbaji huyo kwenye mahojiano na The Playlisty ya Times FM amesema katika maisha yake hajawahi kutumia condom
Kauli hiyo inakuja alipokuwa akieleza kisa cha kukataa busu kutoka kwa moja wa mashabiki wake alipokuwa akifanya show nchini Kenya.
"Kuna baadhi ya maeneo aibu lazima iwepo lakini sina aibu sana," amesema Lava Lava.
Kwa sasa Lava Lava anafanya vizuri na wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Nitake Nini
Related Posts:
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment